Gigy kaelezea kuhusu mwanae Mayra na Baba mtoto wake Mo J🤔. Kwa maoni yako,kati ya Gigy na Mo J nani anastahili kukaa na mtoto?
#Insta @gigy_money_og:
A/Alykhum ,Eid Mubarak.
Leo nitaongea kidogo Juu ya Swala la mtoto wangu kuongelewa katika Mitandao tena Bila ridha yangu na nikinyume na Sheria ata uhuru wa Mtoto wangu.
Kipindi cha ICU kinachooneshwa channel ya DSTV Tanzania, kwakweli mnakiuka Sheria ya Mtandao lakini kwasababu ninyi mpo Juu ya sheria naona ata waratibu wa vipindi vyenu wanaruhusu kurusha vipindi vinavyoruhusu unyanyasaji wa kijinsia na kuingilia uhuru wa mtu binafsi kiti ambacho nikinyume ata na Katiba yetu ya Jamuhuri ya Muungano.
“Hivi ni kweli mmejiridhisha kwa kitu gani hadi kuwa taarifa mnazopokea ni za kweli ..? Au coz kipindi chenu ni “CHAUMBEA” (TAARIFA ZAKE NI ZAUMBEA TU ). (MAANA NITAARIFA ZA KUSADIKIKA).. ?
Mimi ni Mama (ni kweli Kazi yangu ni sanaa) nafanya Sanaa yangu kama wasanii wengine kulingana na mazingira ya kazi yangu. Ila ninapovaa Vazi la kuwa Mama nakuwa mAma kama Mwanamke mwingine yoyote yule . Mama ata siku Moja aliyeingia Labour awezi vumilia uppuuzi unaoendelea ktk Mitandao haswa mnamuongelea mtoto wangu ambae hawahusu kabisa..
I
Maimatha na team yake na DSTV mmekosa vipindi vingine vyovyote vya kuelimisha Jamii mnashinda kumuongelea mtoto wangu. (Pamoja na Makemeo yote ya Matumizi mabaya ya Mitandao).
Ukweli wa huyu mtoto juu ya matunzo yake na Access ya mtoto ( pamoja na DNA aliyeomba kupima huyo anayesema yeye ana uchungu sana na Mwanangu) Upo (MAHAKAMA YA KISUTU) DIVISHENI YA WATOTO). Yeye Alifungua KESI why alikimbia kesi yake.. b
ya kufikia hatua ya matunzo ya mtoto). Leo hii nimechukuwa Jukumu kankumlea mwanangu mwenyewe ni kosa..? Sasa kwa uelewa wangu Mdogo records za kila kesi ndani Ya mahakama zetu ni majalada ya wazi mtu yoyote anaweza omba na kupitia. ,,
NAONGEA HAPA KWASABABU NAONA MTOTO WANGU ANAKUWA MIDOMONI MWA WATU BILA YA SABABU YOYOTE..
(TENA HAPA INSTAGRAM KTK ACCOUNT ZA WATANGAZAJI WA KIPINDI CHA ICU KINACHORUSHWA KTK CHANNEL ya DST TANZANIA).
NAHAKIKA HII NCHI INAFWATA TARATIBU ZA KISHERIA NA KAMA KUNA MAHALA MTU HAUJARIDHIKA NA JAMBO LOLOTE UNAPASWA KUFWATA HATUA STAHIKI.. KAMA SHERIA INAVYOTUONGOZA.
M is only 4 years Old, it pains me a lot to see a person had doubts upon your own daughter until you prove through DNA and you had no remorse even though you put your daughter in a bad situation and still you went ahead to the TV stations and social media you are happy to see your daughter being badmouthed.
No one is above the law. You have to respect other people’s privacy. Mimi naweza kuwa msanii ila Mayra akachoose her own path, (kumbukeni Mayra anasoma na watoto wengine na yeye ni mtoto kama watoto wengine ana haki ya kulindwa na kuheshimiwa kama mtoto msimtumie kama kiki). As long as this case is in the hands of the law I’ll never ever want to see or hear anyone talk about my daughter on the social media. PART THREE (3) Eid Mubarak 🥂

🙄🙄
ReplyDeleteKha!!!
ReplyDeleteTrends
ReplyDelete